[Download] "Miaka Miwili Ya Urais Wa Magufuli: Safari Ya Matumaini Au Nyota Iliyofifia?" by Evarist Chahali " Book PDF Kindle ePub Free
eBook details
- Title: Miaka Miwili Ya Urais Wa Magufuli: Safari Ya Matumaini Au Nyota Iliyofifia?
- Author : Evarist Chahali
- Release Date : January 08, 2017
- Genre: Politics & Current Events,Books,
- Pages : * pages
- Size : 180 KB
Description
Kitabu hiki kinafanya tathmini ya kina ya urais wa Dokta John Pombe Magufuli, Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tangu alipoingia madarakani Novemba 5, 2015 hadi Novemba 5, 2017. Kitabu kinaangalia maeneo ambayo Rais Magufuli amefanya vizuri na yale aliyofanya vibaya. Ni uchambuzi makini usioelemea upande wowote isipokuwa kwenye ukweli.